Songtext zu ' Nina Siri ' von Israel Mbonyi

Nina Siri ist ein Lied von Israel Mbonyi , dessen Text unzählige Suchanfragen hat, deshalb haben wir entschieden, dass es seinen Platz auf dieser Webseite verdient, zusammen mit vielen anderen Liedtexten, die Internetnutzer kennenlernen möchten.

Wenn du lange nach dem Text des Liedes Nina Siri von Israel Mbonyi gesucht hast, fang an, deine Stimme aufzuwärmen, denn du wirst nicht aufhören können, es zu singen.

Nina siri naye Yesu
Yanifanya niwe jasiri
Kwa amani nayo dhiki
Yanifanya niwe jasiri
Yaniburudisha, nikirukaruka
Hosana, Amen
Yaniburudisha, nikirukaruka
Nikiimba Hosana, Amen
Nina siiri
Nina siri naye Yesu

(Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
(Kwa amani) Kwa amani nayo dhiki
(Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Hosana, Amen
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
Nikiimba Hosana, Amen
Nina siri naye Yesu
Yanifanya niwe jasiri
(Kwa amani) Kwa amani (nayo shida) nayo dhiki
(Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Hosana, Amen
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Nikiimba Hosana, Amen

Waambie wanaolia
Wakiteswa na malimwengu
Waonjeni neema yake
Na rehema yake Mwokozi
Watafunguliwa, watawekwa huru
Hosana, Amen
Watafunguliwa, watawekwa huru
Hosana, Amen
Waambie wanaolia
Wakiteswa na malimwengu
Waonjeni neema yake
Na rehema yake Mwokozi
Watafunguliwa, watawekwa huru
Hosana, Amen
Watafunguliwa, watawekwa huru
Wataimba Hosana, Amen
Nina siiri
Nina siri naye Yesu
Yanifanya niwe jasiri

(Kwa amani) Kwa amani (nayo shida) nayo dhiki
(Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Hosana, Amen
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Nikiimba Hosana, Amen
Nina siri naye Yesu (Mwokozi wangu)
Yanifanya niwe jasiri
(Kwa amani) Kwa amani (nayo shida) nayo dhiki
(Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Hosana, Amen
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Nikiimba Hosana, Amen
Nina siri naye Yesu (Hallelujah)

Nikirukaruka

Hallelujah!
Nikirukaruka
Hosana, Amen
Hallelujah!

Play Escuchar " Nina Siri " gratis en Amazon Unlimited

Otras canciones de Israel Mbonyi

Zu wissen, was der Text von Nina Siri sagt, ermöglicht es uns, mehr Gefühl in die Performance zu legen.

Wenn deine Motivation, nach dem Text des Liedes Nina Siri zu suchen, war, dass du es absolut liebst, hoffen wir, dass du es genießen kannst, es zu singen.

Etwas, das öfter passiert, als wir denken, ist, dass Leute den Text von Nina Siri suchen, weil es ein Wort im Lied gibt, das sie nicht ganz verstehen und sicherstellen möchten, was es sagt.

Streitest du mit deinem Partner, weil ihr verschiedene Dinge versteht, wenn ihr Nina Siri hört? Den Text des Liedes Nina Siri von Israel Mbonyi zur Hand zu haben, kann viele Streitigkeiten beilegen, und wir hoffen, dass es so sein wird.

Wir hoffen, dass wir dir mit dem Text des Liedes Nina Siri von Israel Mbonyi geholfen haben.

Auf dieser Seite stehen dir Hunderte von Liedtexten zur Verfügung, wie Nina Siri von Israel Mbonyi .

Lerne die Texte der Lieder, die du magst, wie Nina Siri von Israel Mbonyi , sei es, um sie unter der Dusche zu singen, deine eigenen Coverversionen zu machen, sie jemandem zu widmen oder eine Wette zu gewinnen.